Simu mpya za kuvutia Juni 2017

kaka najua unashangaa kutokuziona Samsung au iPhone nimeongelea ambazo zimekuwa released june kama cjasema in general...
Point yangu ni kuwa hakuna simu ya kutisha hapo hata kama zimekuwa released lini.
 
Point yangu ni kuwa hakuna simu ya kutisha hapo hata kama zimekuwa released lini.
kwa mfano one plus 5 .... os 7.1.1 , screen size 5.5,security fingerprint, technology optic ameloid, rear camera 16mp,front camera 16mp,chipset qualcom snapdragon 835,gpu 8 core, ram 6gb,rom 64gb and 128gb,capacity battery 3300mAh....... au what do u mean ukisema specifications
 
it seems lyl hujui kuhusu specifications za cm kulingana na price jua hizi ni midrange price
Ndyo maana nkasema wewe mgen kwenye simu. Kuna simu zimekuwa released miezi mitatu nyuma zina spec kuzidi hizi. Wewe unaambiwa hakuna kipya hapa unaendelea kubishana tu. Hata hujielewi. Alfu nsijekuta nabishana na mtoto wa shule apa.. shit
 
it will take long tym to move from where we are.... kweli Watanzania sisi am spkng about june ww unaongelea kuhusu miezi 3 iliyopita kwa nini cjaweka samsung s8 and s8plus ndo maana unabisha wakati hujasoma hata tittle jarb kubisha kwa kutumia hoja cyo hvyo unavyofanya..
 
Ndyo maana nkasema wewe mgen kwenye simu. Kuna simu zimekuwa released miezi mitatu nyuma zina spec kuzidi hizi. Wewe unaambiwa hakuna kipya hapa unaendelea kubishana tu. Hata hujielewi. Alfu nsijekuta nabishana na mtoto wa shule apa.. shit
 
Ndyo maana nkasema wewe mgen kwenye simu. Kuna simu zimekuwa released miezi mitatu nyuma zina spec kuzidi hizi. Wewe unaambiwa hakuna kipya hapa unaendelea kubishana tu. Hata hujielewi. Alfu nsijekuta nabishana na mtoto wa shule apa.. shit
na upitie kila simu cyo tu kuangalia brand ulitegemea nisema Samsung na iPhone mwez huu wame release simu gani zinazofaa hapa...
 
na upitie kila simu cyo tu kuangalia brand ulitegemea nisema Samsung na iPhone mwez huu wame release simu gani zinazofaa hapa...
Cwezi bishana na limbukweni wa simu anayeishia kuziona kwenye google tu.
 
Vp Mkuu, umeniangusha....!!
Sijaona Ugonjwa wangu hapo..!
Samsung....ama sio ya maana..!?
Labda sijui Simu..!
 
Vp Mkuu, umeniangusha....!!
Sijaona Ugonjwa wangu hapo..!
Samsung....ama sio ya maana..!?
Labda sijui Simu..!
hapana mkuu nilikuwa naongelea ambazo zimetoka mwezi wa 6 ambazo zina bei ya kati lakini nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…