Natumia galaxy pocket duos. Inasumbua kufungua kitu..kama ni kufungua kitu inaload kwa mda hata kama ni kufungua sehem ya keypad ,inarespond polepole sana. Naomben msaada wenu wakubwa..??
Simu zote za Android zina hili tatizo wanaita "lag" ila ni kwa viwango tofauti Galaxy S4 kwa vile ina Quad Core 1.6Ghz ina lag mara chache kuliko Pocket Duos ambayo ina 800Mhz to processor, plus RAM ndogo. Google jina la simu yako + lag utaona kama watu wanaripoti tatizo hilo.