K kalikumutima Senior Member Joined Oct 9, 2014 Posts 147 Reaction score 47 Oct 14, 2023 #1 Simu yangu inachemka Sana na wakati mwingine inakuwa ipo on ila kioo ni giza hata mtu akinipigia sioni,mpaka niizime na kiwasha tena.Wataalam tatizo ni nini na nini cha kufanya.simu ni motorola i power
Simu yangu inachemka Sana na wakati mwingine inakuwa ipo on ila kioo ni giza hata mtu akinipigia sioni,mpaka niizime na kiwasha tena.Wataalam tatizo ni nini na nini cha kufanya.simu ni motorola i power
Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 5,181 Reaction score 19,370 Oct 14, 2023 #2 Taja aina ua simu..