Hiyo infinix haina mwaka. Imetoka mwezi wa 3 tarehe 27😄😄😄ukoo wa tecno kawaida ikipita mwaka mambo kama hayo ni kawaida sana....Tafuta simu achana na ukoo wa tecno .!!
Kumbe series ya infinix hot umefika toleo la 30?!🙄
Hiyo 12 GB RAM ni ya kweli?!
Matumizi makubwa simu ina uwezo mdogo sana hio licha ya kutoka mwaka huuHiyo infinix haina mwaka. Imetoka mwezi wa 3 tarehe 27
Ya huyu jamaa ina ram 4gbHiyo 12 GB RAM ni ya kweli?!
Ushauri wangu uza hii simu ongezea pesa na switch kwenye brand nyingne yenye processor ya Qualcomm ya kisasa.. Hii simu yako naona inatumia chip ya Unisoc T606 sijui hata ecosystem yake ikoje... Ila hii simu haikidhi mahitaji yako ya u heavy user..Habari za jioni wanajamvi, kutokana na shughuri zangu, nna matumizi makubwa kiasi ya smartphone, yaan nna magroup mengi ya Whatsapp, nna kazi kadhaa za online. Sasa hii simu nikiwasha tu data lazima ijizime, then baada ya hapo inaganda mara ijizime.
Je, kuna namna naweza ifanya hii simu ikawa fasta na isizime zime ovyo nikiwasha data?
View attachment 2725624
Simu aina Gani unanishauri ninunueUshauri wangu uza hii simu ongezea pesa na switch kwenye brand nyingne yenye processor ya Qualcomm ya kisasa.. Hii simu yako naona inatumia chip ya Unisoc T606 sijui hata ecosystem yake ikoje... Ila hii simu haikidhi mahitaji yako ya u heavy user..
Uzuri na ubora wa simu mkuu unategemeana na budget yako... ukiweka budget yako hapa kuna watu watakushauri simu nzuri...Simu aina Gani unanishauri ninunue