Ooh nikajua umeanza kuuza vitu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] siyo yangu hiyo mkuu ni ya jamaa yangu yule wa forex mi dalali tu
Sawa mkuu mnada mwema. Ukumbuke kumpa hela yake usije kutumia kwenye nyumba za wageni.Aah wee kwanza mi sina tambo kubwa hivyo kasimu kangu ni katecno C8, ile outdated mkuu