Punguza fujo bhana!Weka na Bei kaka..Mwisho wa mwezi huu tujipige pige tuchukue kitu hiyo..tundika na bei usiwe kama Kinana au Nape..!
Haa haa haaaa..,Jamaa amefulia alaf anaficha ficha..,mwambie atupie na bei mapedeshee tuchukue kitu hiyo..!Punguza fujo bhana!
Usiwe kama Slaa au Lema!
Weka na Bei kaka..Mwisho wa mwezi huu tujipige pige tuchukue kitu hiyo..tundika na bei usiwe kama Kinana au Nape..!