Kama upo nje ya Dar es salaam kuna option 3 ,
i) utalipa pesa yote ya simu kwanza, halafu tutakutumia kwa njia ya basi yaani tutampa mzigo Konda mkononi au Dereva, na mawasiliano ya huyo Dereva au Konda utapewa. Dhamana ya mzigo ni yetu mpaka simu ikufikie.
ii) Tafuta mtu unayemuamini Dar es salaam tukutanishe naye umtumie hela yeye, halafu yeye ndiye atakutumia simu.
iii) kama huo mkoa kuna mtu wangu nitakupa mawasiliano mkutane naye umlipe advans, halafu simu nitamtumia mtu wangu atakupa simu. (hii ni ngumu kidogo sababu hatuwezi kuwa na mtu tunayemuamini kila mkoa)
call 0752 858693 / 0714 345958 or send pm if have more questions.