Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,115
- 13,055
Punguza app zinazofanya vema kazi bila ruhusaKwa vile JF ina kila mtaalamu, ninaomba msaada wa kujua ni nini sababu ya simu kutumia data kupindukia. Mb zinakatika kama umeme. Hapo awali haikuwa hivi. Hii simu ni mpya.
Ahsanteni.
Halafu wakati huo nizime data, auTumia hotspots au WI-FI
Kwa mfano zipi mkuu.Punguza app zinazofanya vema kazi bila ruhusa
USSR
Je, inawezekana nisiwashe data na nikaweza kutembelea humu JF?Usiwashe data
Yaaah ni possible mno..Je, inawezekana nisiwashe data na nikaweza kutembelea humu JF?
Nimefanya hivyo mkuu, maana kuna haya ma app mengine yananietea ma meseji hata siyahitaji. Ahsante mkuu.Punguza app zinazofanya vema kazi bila ruhusa
USSR
Hizi smart za kawaida sana. Nipe hayo ma akili boss wanguYaaah ni possible mno..
Unatumia simu ya aina gani mkuu..?
Kuna kitu kinaitwa data severHizi smart za kawaida sana.
nimekiona sehemu nimesahau ni wapi. Nielekeze mkuuKuna kitu kinaitwa data sever
Sasa asipowasha data umuhimu wa smart unaonekanaje? akiwasha data ndio anawasiliana na dunia akizima ni sawa tu na akiwa na kitochi.Usiwashe data
haiwezekani.Huwezi ukafunga mlango mkuu wa nyumba yako kutegemea utaingilia mlangoni na ukiwa ni mmoja tu unautegemea labda tu ubomoe paa urukie kwa juu hapo sasa ndio kuna kitu kinaitwa WIFI na wifi nayo ina sehemu zake maalum mfano uko hotelini unapewa access ya bure.Je, inawezekana nisiwashe data na nikaweza kutembelea humu JF?