Kwanza ni simu ya jina gani?,Tecno?Ndugu wadau poleni kwa majukumu ya siku nzima ya Leo,sasa wakuu nimepata hili tatizo la simu yangu kugoma kuzi update na ku download apps mpya,hili tatizo nimekumbana nalo Jana.kwahiyo Wakuu najua humu kuna wataalam wa compute na ma IT,tafadhali naombeni msaada wenu mnisaidie katika hili.karibuni wadau!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia memory card, tecno nyingi ili ifanye kazi vizuri inabidi iwe na memory card, kama imejaa punguza vitu kwenye memory card, kama hujaweka weka memory card, utaona mambo yako yanakwenda vyema. Na hilo tatizo litakwisha.

Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
Hivi Tekno nazo ni simu ama mfano wa Simu? Yani una 7GB lakini inasema memory full.
Hivi Tekno nazo ni simu ama mfano wa Simu? Yani una 7GB lakini inasema memory full.
Wachina sio wana
Unawezaje kumtenganisha mchina na tekno labda kwa mfano?
Unawezaje kumtenganisha mchina na tekno labda kwa mfano?
Ukisema Tekno tu mtu mwenye upeo wa hali ya juu anajua unaongelea Peoples' Republic
Wala hata sio tatizo ...hiyo sehemu ya mifumo ya tekno. Ni kawaida kwa Tekno so sio tatizoUkishasema tecno basi tunaelewa hilo ni tatizo la kawaida kwao
Ndo mana nikasema ukisema tekno mtu anajua ni MCHINA OG na sio made in China under licence......Asilimia ya simu nyingi hutengenezwa China [emoji630] so zipo brands za kueleweka sio hao wezi wanaouza simu mbovu kwa gharama kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app