Pole sana,
Ukipigiwa simu, anayekupigia anapata majibu gani, haipatikani au inatumika?
Umejaribu kuweka lini tofauti na hizo?
Hakiki IMEI namba TCRA kwa kutume ujumbe wenye tarakimu 15 za IMEI za simu husika kwenda 15090. Kama jina linalokuja sio sawa na model ya simu yako kuna shida. Angalia IMEI kwa code *#06#.
Check pia software version, ni latest. Kuna ripoti za simu kuonekana inatumika ukipigiwa kama software imepitwa wakati, nimeshuhudia kwa Tecno Spark 4 (KC8).
Angalia vitu hivyo, ukihitaji usaidizi zaidi 0767379327