Simu gani uliyoanza kutumia?

Siemens c10
Hii ilikuwa ya ukweli sana enzi za Tritel.

 
Yangu ilikuwa TRIUM.
Nilipewa zawadi baada ya kupasua pepa.
Dah! kitambo sana kipindi hicho simu ya mkononi anasa halafu dogo nimeipachika kiunoni nalonga na MOBITEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…