Nahitaj simu mpya ila iwe inameet conditions zifuatazo:
1.High quality music(Kwa wanaopenda muzik watanielewa,mfano Nokia xpressmusic ina quality ya juu sana ya muzik kuliko hata Nokia C3 japo C3 ina bei kubwa zaid)
2.Bei isizid laki 3
3.Qwuert keypad au screen touch.
4.vingine vyote i don't care as long as inavyo hvi nlivyovitaja.
Mwenye ushaur plz anambie,sipend kununua simu yenye vitu viiingi wakat vichache nnavyovipenda haina.
chief-mkwawa 2. kwenye asha 302 hutapata feature nyingi sema simu inakaa na charge.[/QUOTE said:hivi imefikia bei gani saivi, kwa dar?
hivi imefikia bei gani saivi, kwa dar?
mkuu huo mziki unaskiliza kwa speaker za simu au earphone?
kama ni earphone na unapenda mziki i think simu yoyote inakufaa ila itabidi utoe hela nyengine kununua earphone za maana.
baadhi ya simu za ukweli zinazoendana na matumizi yako.
galaxy chat b5330
kwakua pia hujaspecify kama iwe smartphone asha 302 pia ni nzuri
sasa hapa kuna mambo mawili.
1. kwenye galaxy chat utapata more features more apps kama music player nyingi lakini tatizo lipo kwenye battery ni mbovu
2. kwenye asha 302 hutapata feature nyingi sema simu inakaa na charge.