Kwani ziliwahi kuondolewa ?Yaani leo nimeshuhudia kwa.macho yangu mtu ana simu ya kitochi iko mfukoni.hana habari mpaka tunaulizana.mbona kuna.kitu kama.waya kinaungua ghafla jamaa anaona.moshi unatoka mfukoni.kutoa mfuko simu imeungua sehemu ya betri bahati hakuungua
Si.waliwahi kuziondoa.feki zote 2016Yaani leo nimeshuhudia kwa.macho yangu mtu ana simu ya kitochi iko mfukoni.hana habari mpaka tunaulizana.mbona kuna.kitu kama.waya kinaungua ghafla jamaa anaona.moshi unatoka mfukoni.kutoa mfuko simu imeungua sehemu ya betri bahati hakuungua
Kwani ziliwahi kuondolewa ?
Yaani hivi hivi upeleke kopo lako ambalo halifahamiki uliokota wapi halafu upewe simu mpya ! Sidanganyiki .Tusibishane mimi nilikuwa nayo na nikapeleka tigo nikapewa original
dah iphoneZilipigwa marufuku siku nyingi,ila sishangai maana hata Apple na zenyewe huwa zina short circuit zenyewe
hazina iyo mambo