nyigo Jn. JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 269 Reaction score 96 Jun 24, 2017 #1 Wakuu ninaomba kufahamishwa jinsi ya kutambua Samsung na iPhone ambazo ni fake maana kumekuwa na janga sana la simu fake mtaani hususani brand hizo mbili
Wakuu ninaomba kufahamishwa jinsi ya kutambua Samsung na iPhone ambazo ni fake maana kumekuwa na janga sana la simu fake mtaani hususani brand hizo mbili
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,289 Reaction score 72,517 Jun 24, 2017 #2 Verify kupitia TCRA uwatumie IMEI number za simu husika