Simu aina ya Samsung S3 inauzwa

Simu aina ya Samsung S3 inauzwa

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
399
Reaction score
58
Simu bado mpya kabisaaaa
Ina miezi mitatu tu tangu itoke dukani
Nahitaji 200,000/= TU
Nipo dar es salaaam
Mawasiliano,namba 0656899091
1476266907344.jpg
1476266915788.jpg
1476266925793.jpg
 
Samahani Mkuu
Umesema Bado Mpyaa
lakini muonekano upo tata,ila nahisi ni aina ya Camera umeyopigia au set up ya upigaji picha hujaitendea haki Sim yako.
So,nakushauri weka picha nyingine
 
Back
Top Bottom