Simu aina ya nokia e63 inauzwa kwa bei chee!

Simu aina ya nokia e63 inauzwa kwa bei chee!

Twaa

Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
46
Reaction score
10
simply simu AINA YA NOKIA E63 INAUZWA KWA bei nafuu sana! Wasiliana nami!
 
mpya au used? Unaibana kwa ngap mkuu!?
 
simu ni used! Bei maelewano mkuu! Wewe jimwage kwenye maongezi tuongee!
 
weka bei kisha uni pm coz mwenyewe nina Lg 285 GU,nauza,sema bei tumalize biashara
 
Weka bei kiongozi. Wanaouza ndege huko ulaya wanaweka bei iwe simu!
 
bei ni Kshs elfu 10! nimetoa dau kwa thamani ya shs ya kenya kwa sababu Tz mfumuko wa bei upo juu sana(mnono)!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom