Simon Msuva kubali ukweli, wewe soka la kimataifa basi!

Lakini siwezi kushangaa Sana kama clement mzize alicheza kama sijakosea ilikua stand united ikashuka daraja akaenda kua boda boda akaja badae kucheza yanga alafu hadi Leo bado hajatimiza miaka 20
 
Kwa hiyo Simon Msuva ni age mate wa Christian Ronaldo au Pepe? Basi wacha aendelee tu kukipiga
 
Huyo jamaa ni muongo sana huyo msuva atakuwa na miaka ikizidi sana ni 32 ni age mate na kina himid mao na himid namjua tokea akiwa bwana mdogo mwembechai

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wew umecheza na himid Mao wapi, Wakati msuva anasajiliwa morot United YA Kina nsa job wewe ulikuwa wapi kipindi hicho, msuva anaingia under 20 ya azam 2007 na akina cosmas Maradona wewe ulikuwa wapi?
 
Msuva hana miaka 32 and no where near that, he's 38 mimi nimeupiga nae, copa coca cola under 17 mwaka 2007 iliyofanyika south Africa hakushiriki sababu vyeti vyake vya kuzaliwa vilichelewa kubadilishwa, njoo na taarifa kamili, ngoja nitafute picha za 2007
 
Hivi uongo unawafaidisha nini? Yaani msuva alingane umri na wakina jerry tegete na yondani? Msuva huyu huyu ambae miaka michache nyuma alikuwa kinda kabisa akicheza show kinondoni?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mkuu Jerry toka nimwone anacheza mpira ni muda na uzuri nimekulia tabata jerry ni makamo ya kina Matunga pesa aloo umri umeenda wale aisee
 
Wew umecheza na himid Mao wapi, Wakati msuva anasajiliwa morot United YA Kina nsa job wewe ulikuwa wapi kipindi hicho, msuva anaingia under 20 ya azam 2007 na akina cosmas Maradona wewe ulikuwa wapi?
Sio under 20 ilikuwa ni under 17 sasa kama 2017 tuseme alikuwa na miaka 17 na miaka 16 imepita jumla atakuwa na 33....hilo la msuva kuwa na miaka 38 ntalikataa mpaka kesho

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Haya tuseme alikuwa na miaka 18 jumlisha miaka 16 tokea hyo 2007 jumla atakuwa na miaka mingapi?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
mkuu upo sahihi bongo kwa uongo ndo wenyewe hata Samatta kajipunguza.
 
Kwa taarifa yako tu, mpaka anaondoka Man U kwenda Saudia ndiye aliyekuwa mchazaji wa Man U aliyekuwa anaongoza kwa ufungaji klabuni kwa Msimu huo na uliopita. Kama sio kweli, weka ushahidi.
aliipa timu mafanikio gani?
Nazungumzia EPL, man utd haikuwa inacheza yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…