Mods naomba kwenye heading pasomeke Robert badala ya Simon.Baada ya kumsikiliza Simon Kisena akipangua maswali huku na kule kama kipa wa Bacelona na kujiridhisha kuwa hatumii masaburi kufikiri na yuko fiti kumkichwa napendekeza jiji la dar libinafsishwe Simon akabidhiwe hisa asilimia 51 na manispaa 3 zibaki na asilimia 49.Sawa najuwa mtasema kuna sehemu kadhaa kijana kacheza faulo lakini nimempa kadi ya njano baada ya kugundua katukusanyia milioni 850 UDA toka Juni hazijaguswa ziko benki.

Akifanikiwa kulinyoosha Jiji hili linaloendeshwa ki-saigon saigon mwaka 2015 tumkabidhi na Ikulu kabisaa.
Mods naomba kwenye heading pasomeke Robert badala ya Simon.

Naona tapeli anapigiwa debe

Naona tapeli anapigiwa debe
Mwita nimeiweka kiutani.Hana uzoefu wowote wa kufanya shughuli za usafirishaji na in particular usafirishaji wa watu(abiria).
Hata hivyo bado hakunishawishi kwamba ni mtu anayeweza kuaminiwa,hayuko makini. Kuingiza pesa ya shirika kwenye account binafsi ya m/kiti wa bodi ni ushahidi tosha kwamba huyu bwana haaminiki na hawezi kuaminiwa na watu makini.
Bwana mdogo angekuwa waziri wa nishati bajeti ingepita mara ya kwanza hata bila ya mkono wa Jairo hahaha! au unaonaje angekuwa msemaji wa ikulu waandishi uchwara wangeogopa kuuliza maswali.Naona tapeli anapigiwa debe
asante.mia.uporoto01 una akili sana.mia
Nashukuru mkuu.Robert Simon Kisena
Mwita kwahiyo nami tapeli ? hapa ulitumia nini kufikiri hahaha!

hivi inawezekana mtu asiye tapeli kumpigia debe tapeli? Just curious!
hebu pumueni kidogo huu ni utani tu.Umeshaingia line.jamaa ni mjanja sana.unaamini vipi maneno anayosema?yupo kibinafsi zaidi.waulize wauza Pamba alivyowachakanua kwenye kilo.Anachotaka ni maslahi yake yeye.Yuko tayari kwa lolote lile.Aligonga mwamba kwa Shibuda tu
Mbona hamuwataji alionao huyo Robert au Simon vyovyote iwavyo I mean wakina Kapuya etc? Wizi ni wizi tu hata ukifanyiwa sugar coating