Mzee Kaputula nadhani kama yeye hana makosa sana kwenye hili, issue ni wajumbe waliokuwepo muda ule wakati wa kikao, maana sote tumeshuhudia mambo mazito yana ongelewa watu wamesha inuka na mabango mbele meza kuu aaah aaah kwanini tena waonekane au?Angefuata katiba na mwenyewe na wanachama wengine wanaotaka kugombea urais wangechukua fomu na kupita mikoani kupata wadhamini kama katiba inavyotaka. Angepita mchakato na kuteuliwa pasingekua na neno. Wanaompika wangefunga mdomo.
Ndugu umeelezea vyema.Mzee Kaputula nadhani kama yeye hana makosa sana kwenye hili, issue ni wajumbe waliokuwepo muda ule wakati wa kikao, maana sote tumeshuhudia mambo mazito yana ongelewa watu wamesha inuka na mabango mbele meza kuu aaah aaah kwanini tena waonekane au?
pili haya mambo tunayo sikia ni vema vijana wa sasa hasa wajumbe waeleweshe umuhimu wa kuwa katika hivyo vikao huenda hawajui kwa sasa maamuzi ya nchi yana anzia kupikwa hapo a slight of mistake may take the country to a big thing, kwanini..
Naongea hivi kwasababu ukirejea vifungu alivyokuwa ana tamka mjumbe wa kike alivipindisha na sijui kama kuna mtu alidiriki kulisema hili na alipo pindisha ni kwa kusema wanatakiwa angalau majina matatu, na jina moja ni kati ya matatu, kwahiyo wampitishe...
Kwa katiba ya Chama na maelezo ya mjumbe kweli alikosea kwasabu kiwango cha chini kabisa cha majina yanayo hitajika ni matatu na sio jina moja hasa kwa huu mwaka ambao miaka kumi imesha pita.
Swala moja ni kwamba kwa sasa taasisi zote zitengeneze watu weledi ndani ya vyama hivi ili tusije lichimbia shimo taifa letu..
Pili kama kikao kinachokuja wakipitisha jina kutokea meza kuu unadhani hali itakuaje huko mbeleni?
Na mnacho pinga wanachama ni kwamba aliepitishwa hapaswi kupatiwa tena? Au namna ya accountability yake haina uzito kwa sasa?
Hahahaha nyundo nzito hizo, ila kwa sasa hakuna anae tambua chanzo nadhani wengi wataweza peleka lawama kwa mwenye meza ila huku wameacha chanzo halisiNdugu umeelezea vyema.
Mpaka sasa bado namtafakari sana Ng'wasi Kamani na dhamira aliyokuwa nayo ya kuwakosesha wajumbe makusudi!
Huyu ilipaswa afunguliwe mashitaka ya uhaini kutokana na kosa la makusudi alilofanya kuwakosesha wajumbe wenzake na Mwenyekiti wao.
Ona sasa kosa lake linavyokighalimu chama.
Wengi wanaamini ulifanyika usanii baada mama na wapambe kuona kuna uwezekano atapingwa kwa wanachama wengine kuchukua fomu. Hebu fikiri kwa nini uitishwe mkutano kwa ajili ya kumchagua makamu mwenyekiti tu. Makamu m/kiti anateuliwa na kamati kuu na h/kuu. Mkutamo mkuu anamuidhinisha tu. Kwa mantiki sahihi na tija kwa chama mkutano mkuu ungeitishwa kuchagua mgombea urais sio kupitisha jina la makamu mwenyekiti wa ccm. Walipanga hivyo kuepa maboya kisha wakachomeka nje ya agenda na kinyume cha katiba kumchagua mgombea urais samia bila kutoa fursa kwa wagombea wengine. Samia alikua anaigiza tu kama hajui mpango mzima. Wenye kuelewa wanajua Nchimbi ni mwanamtandao wa enzi ya lowassa na jk. Hakuwekwa ukatibu mkuu na Samia bure.Mzee Kaputula nadhani kama yeye hana makosa sana kwenye hili, issue ni wajumbe waliokuwepo muda ule wakati wa kikao, maana sote tumeshuhudia mambo mazito yana ongelewa watu wamesha inuka na mabango mbele meza kuu aaah aaah kwanini tena waonekane au?
pili haya mambo tunayo sikia ni vema vijana wa sasa hasa wajumbe waeleweshe umuhimu wa kuwa katika hivyo vikao huenda hawajui kwa sasa maamuzi ya nchi yana anzia kupikwa hapo a slight of mistake may take the country to a big thing, kwanini..
Naongea hivi kwasababu ukirejea vifungu alivyokuwa ana tamka mjumbe wa kike alivipindisha na sijui kama kuna mtu alidiriki kulisema hili na alipo pindisha ni kwa kusema wanatakiwa angalau majina matatu, na jina moja ni kati ya matatu, kwahiyo wampitishe...
Kwa katiba ya Chama na maelezo ya mjumbe kweli alikosea kwasabu kiwango cha chini kabisa cha majina yanayo hitajika ni matatu na sio jina moja hasa kwa huu mwaka ambao miaka kumi imesha pita.
Swala moja ni kwamba kwa sasa taasisi zote zitengeneze watu weledi ndani ya vyama hivi ili tusije lichimbia shimo taifa letu..
Pili kama kikao kinachokuja wakipitisha jina kutokea meza kuu unadhani hali itakuaje huko mbeleni?
Na mnacho pinga wanachama ni kwamba aliepitishwa hapaswi kupatiwa tena? Au namna ya accountability yake haina uzito kwa sasa?
Wa kushitakiwa ni katibu mkuu Nchimbi. Yeye ameshiriki kuvunja katiba kisha amezawadiwa kua mgombea mwenza. Huyu ni kundi la wahuni anaosema Polepole. Wanamtandao wa like genge linalodhaminiwa na Rostam Azziz.Ndugu umeelezea vyema.