ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,086
- 61,448
Mkuu nadhani muda Bado.Samahani sana kwenye urais tunaenda na Dkt.Hussein Mwinyi anakizi vigezo vyote.
Wote ni WANAFIKI WACHUMIA TUMBO.1. Wote Ni wanazuoni wanaoheshimika wametumikia taaluma zao vema
2. Ni wazalendo haswa wanaijua nchi vizuri
3. Wote ni ma fans wa Magufuli..bila Magufuli kuwaibua wasingefahamika
4. Wasema ukweli na watoa hotuba nzito.. naweza kuthubutu kusema hawa ni kama Nyerere
5. Wanafaa kuwa Rais. Majaliwa ndio anafaa ila pia hawa wafikiriwe
6. Wana misimamo Hawa ni viongozi wenye misimamo ya hali ya juu