Wanajamvi
....nimemsikia akidai kujenga miundo mbinu ya umeme kutoka Mtwara mpka Dar ni gharama zaidi kuliko kuleta gesi DSM, ...
HIVI HUYU NAIBU WAZIRI anajua walau jiografia ya Tz? Je anajua miundombinu ya umeme iliyopo na mahali ilipo?
Aache kudamganya umma kuwa "kujenga miundo mbinu...ni gharama", kwani hajui kuwa existing National grid inaweza kutumika? Au ndio yale ya kujenga barabara ya kudumu 25yrs mwaka huu kwa gharama za walipa kodi then mwaka kesho barabara hiyohiyo inatakiwa ibadilishwe iwe ya mabasi yaendayo kwa kasi (kwa fedha nyingine tena za walipa kodi)?......
hii ndiyo athari ya mikataba inayosainiwa usiku wa manane!!! kwa faida yako tu ni kwamba katika any project user envolvement katika kila phase ni muhimu kuliko huo mkataba wenyewe!! hawa wananchi kama walishirikiswa wao si majua leo waingie barabarani kupinga mradi huu; hapa kuna tatizo tayari.ninyi watu mnaomponda huyu waziri na kushabikia bomba lisijengwe, mlikuwa wapi kabla? mbona mmesubiri hadi mkataba umeingiwa na pesa zimetolewa ndo mnapiga yowe?...akili zenu ni ndogo sana halafu ni kama wadudu wanawanyevuanyevua vile, mnawashwa? tuje tuwakuna huko....?
unamaana gani kuwa wananchi washirikishwe, na ni wananchi wepi? kwani rasilimali ni za watu gani tu? unataka wapite mtaa kwa mtaa wakiwashirikisha wananchi au wawakilishi wa wanaanchi either wabunge au viongozi tuliowapa hatamu kutufanyia mambo yetu, rasilimali zile ni zetu sota tz nzima na kama kushirikishwa tungekuwa wetu.hii ndiyo athari ya mikataba inayosainiwa usiku wa manane!!! kwa faida yako tu ni kwamba katika any project user envolvement katika kila phase ni muhimu kuliko huo mkataba wenyewe!! hawa wananchi kama walishirikiswa wao si majua leo waingie barabarani kupinga mradi huu; hapa kuna tatizo tayari.
unamaana gani kuwa wananchi washirikishwe, na ni wananchi wepi? kwani rasilimali ni za watu gani tu? unataka wapite mtaa kwa mtaa wakiwashirikisha wananchi au wawakilishi wa wanaanchi either wabunge au viongozi tuliowapa hatamu kutufanyia mambo yetu, rasilimali zile ni zetu sota tz nzima na kama kushirikishwa tungekuwa wetu.