Simba you are too good for nothing, lini mtaacha kufa kiume, shame

Safari hii wakisema wamekufa kiume ni haki. Kushindwa kikanuni mbele ya timu bora Afrika sio jambo rahisi.
Na power dynamo pia walishindwa kikanuni ndio maana mlifuzu makundi bila kanuni mngekuwa nje ya michuano ivyo kanuni mziheshimu zimewanusuru kuangukia pua!
 
We mjinga nimechekaaaaaa.
Thanks h...
Umefanya na mimi nicheke pia, japo sijui kilichofanya ucheke hivyo. Labda nikuombe nije PM unishirikishe nijue na mimi nipate kucheka vizuri.

Karibu b....

Ova
 
Makolokolo SC akiwa Baba yako wewe na ukoo wako inatosha, usitusemee wengine tusiohusika Mwakarobo SC fan Kungwi wewe
 
Good
 
Reactions: Tsh
Mimi lawama zangu zinaenda kwa MO ubahiri wake ndio unetufikisha apa yani unajua kabisa kuna mshindano makubwa kama aya alafu unaleta wachezaji wakawaida ambao ata apa bongo wapo..
Hakuna timu yoyote duniani iliyowahi kuwa chini ya Tajiri Kanjibai ikafika popote.

NB:

Makolokolo SC inampatia hasara sana Mr Mudi, sijasema mimi lakini
 
Umefanya na mimi nicheke pia, japo sijui kilichofanya ucheke hivyo. Labda nikuombe nije PM unishirikishe nijue na mimi nipate kucheka vizuri.

Karibu b....

Ova
Hapa umesound kama Genta, leo utaniua kucheka.
Anytime h... karibu tuyajenge.
 
Hapa umesound kama Genta, leo utaniua kucheka.
Anytime h... karibu tuyajenge.
Oh! Asante sana, bila kuchelewa nakuja na kama utaruhusu nikae huko kwa japo kwa muda wa saa moja hivi nitashukuru.

Kwa mara nyingine, asante sana b....

Ova
 
Mimi Ni Yanga lakini kiukweli Simba walipambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…