Tatizo lenu mnadhani tanzania ni dar tu,kuna watu uko vijijini hawana watsapp na wanataka kujua habari za timu yao pendwa..hizo technologia mnazozisema nyie endeleeni kuzitumia,hii huduma aina ubaguzi,wenye smart phone na wenye simu za kawaida ambao ndo wengi,wote habari za simba watazipata.