Simba yaua

Simba yaua

Mahweso

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
1,098
Reaction score
1,501
Mnyama apania kulibakisha kombe nyumbani, pole kwa azam kwa kupata kichapo, mnyama kukipiga fainali na kcc
 
mnyama kaua 2-0, wafungaji joseph owino na amri kiemba. kwa maelezo zaidi pitia bongostaz.blogspot.com utapata picha na maelezo ya mechi nzima.
 
Bravo mnyama.
Rage akiondoka mambo yatazid kuwa mazur zaid
 
Back
Top Bottom