Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,851 Sep 30, 2016 #261 Tiketi zimeanza kuuzwa?
inzi JF-Expert Member Joined Aug 24, 2016 Posts 296 Reaction score 285 Oct 1, 2016 #272 Maandishi ya Simba ungeyaandika kwa rangi nyekundu ungetisha
libra JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 301 Reaction score 121 Oct 1, 2016 #273 Leo tuna'mgegeda' yanga.
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Oct 1, 2016 #274 inzi said: Maandishi ya Simba ungeyaandika kwa rangi nyekundu ungetisha Click to expand... yaliandikwa hivyo lakini yakaondolewa sababu kwenye app yalikuwa ya kijani yote
inzi said: Maandishi ya Simba ungeyaandika kwa rangi nyekundu ungetisha Click to expand... yaliandikwa hivyo lakini yakaondolewa sababu kwenye app yalikuwa ya kijani yote
FORCE NAMBA JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 937 Reaction score 328 Oct 1, 2016 #275 Leo ndo leo ila tusitegemee ufundi wa mpira bali kamati za ufundi ndio mpango mzima
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Oct 1, 2016 #279 Yangaaa....
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,511 Reaction score 15,140 Oct 1, 2016 #280 libra said: Leo tuna'mgegeda' yanga. Click to expand... Mnabikiriwa leo,shauri yako,mmetega kabisa.