Haya sasa, hawa walipata madhara haya baada tu ya kukumbana SIMBA na wala sio Raja casablanca ya Morroco ama TP mazembe ya DRC, na wala sio Zamalleck ya Misri, bali ni Simba ya Msimbazi. Samahani kuna sehemu neno SIMBA nimeandika kwa herufi kubwa na maandishi yaliokoza, msije pata presha baada ya kusoma, maana ni kesho tu msije kosa kinachoendelea kabla mechi, kwa kulazwa hospital.