Yanga lazima wafe,labda Sanya awabebe.Hivi kati ya yanga na simba nani kapanic? Simba hatujapoteza mechi mpaka sasa.Bossue hawezi mzuia Mavugo,kamsoko hawezi kwa Mnyate.Ngoma hapiti kwa Mwanjali hata huyo Tambwe kwa Bukungu hapiti.Kama mnadhani simba hii ni ile ya kina Kessi njooni na matokeo yenu Jmosi.