Wewe unamatizo, kama mtanzania unategemea kujua kiswahili mpaka aende shule haya, bahati mbaya sitoweza kijibu matusi yako, maana kujua kutukana inategemea umetoka kwenye familia ipi, na unakaa mitaa ipi kwenye miji yetu.
Tutambuane mapema mashabiki wa timu hizi pinzani katika soka la Bongo. Jumamosi ni mtanange wa kukatana ndimi kati ya Yanga vs Simba. Tutambuane mapema uko upande gani?