Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Ukiwa na sheria na taratibu zinazoweza kupindishwa kwa vijisababu mbalimbali bila kujali uzito wa hoja hatuwezi kukomesha baadhi ya tabia.
Vipi Simba kama wangekataa hela kwa madai kuwa wanahitaji huduma ya mchezaji huyo na yupo kwenye mipango ya kocha na klabu?
hahhaha eti jahazi linazama, miaka ya karibuni simba huwa anaanza kwa mbwembwe ligi ikichanganya anakimbilia uswisiMkuu, kama tungekomaa, msimu mzima Buswita alikua anaozea benchi. Ila kwakua Simba SC hatuna makuu, acha kijana akajaribu kuokoa Jahazi ambalo linazama.
hahhaha eti jahazi linazama, miaka ya karibuni simba huwa anaanza kwa mbwembwe ligi ikichanganya anakimbilia uswisi
Mkuu Sembo nafahamu muda wako wa kuwa eneo korofi kwasasa haujafika,nakutabiria ikifika Mwezi April Mwakani Simu yako itakata network.Mkuu, si kwa msimu huu.
Mkuu Sembo nafahamu muda wako wa kuwa eneo korofi kwasasa haujafika,nakutabiria ikifika Mwezi April Mwakani Simu yako itakata network.
Angekuwa Malinzi kwenye nafasi ya urais ungesikia kuwa malinzi anawapendelea yanga. kwa kuwa kuna mwanachama wa simba kwenye ile nafasi basi inaoneana sawa tu.Ukiwa na sheria na taratibu zinazoweza kupindishwa kwa vijisababu mbalimbali bila kujali uzito wa hoja hatuwezi kukomesha baadhi ya tabia.
Vipi Simba kama wangekataa hela kwa madai kuwa wanahitaji huduma ya mchezaji huyo na yupo kwenye mipango ya kocha na klabu?
😀😀😀Mkuu Sembo nafahamu muda wako wa kuwa eneo korofi kwasasa haujafika,nakutabiria ikifika Mwezi April Mwakani Simu yako itakata network.
Angekuwa Malinzi kwenye nafasi ya urais ungesikia kuwa malinzi anawapendelea yanga. kwa kuwa kuna mwanachama wa simba kwenye ile nafasi basi inaoneana sawa tu.
Kikuku fc waishukuru simba lasivyo tungewakalisha na uyo mchezaji toka mpodo fc
Wamchangani karibu tena,msimu huu mnachukua ubingwa tena?Mkuu, kama tungekomaa, msimu mzima Buswita alikua anaozea benchi. Ila kwakua Simba SC hatuna makuu, acha kijana akajaribu kuokoa Jahazi ambalo linazama.
pesa za poda hizooKwa upande mwingine, Klabu ya Simba wamedai walipwe pesa ya nauli ya ndege waliyomlipia mchezaji huyo pindi wamemchukua ambapo Yanga wamekubali kuilipa pesa hiyo.
Yanga hatunaga tabu na pesa ndogo kama hizo kwani nini!!
Hahaha. Mkuu toa ya moyoni achani utani.Mkuu, kama tungekomaa, msimu mzima Buswita alikua anaozea benchi. Ila kwakua Simba SC hatuna makuu, acha kijana akajaribu kuokoa Jahazi ambalo linazama.
Yani Simba hana tofauti na Arsenal au Liver. Wanaanza kwa kasi mwisho wanakuja kujambahahhaha eti jahazi linazama, miaka ya karibuni simba huwa anaanza kwa mbwembwe ligi ikichanganya anakimbilia uswisi
thibitishapesa za poda hizoo