Simba yajikomba Sunderland Uingereza

Makoye Matale

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Posts
6,490
Reaction score
2,104
Malkia wa bees na MahaRage wako Uingereza kwa ajili ya kujikomba kwa klabu ya Sunderland, akiongea na Maulid Kitenge wa Radio One, mzee Kinesi amedai kuwa Simba itafaidika kwa kupeleka wachezaji wao kufanya mazoezi huko na kupata fedha za kujenga uwanja. Sunderland itafaidika kwa kupelekwa mbuga za wanyama hapa TZ. Imekaaje hii issue?
 
Sunderland wanaweza kwenda mbuga za wanyama bila mbeleko ya SSC. Hiyo kitu haina tofauti na zile ahadi za Mheshimiwa Rahisi
 
Sunderland wanaweza kwenda mbuga za wanyama bila mbeleko ya SSC. Hiyo kitu haina tofauti na zile ahadi za Mheshimiwa Rahisi

MahaRage kaonja utamu wa majuu, sasa kila siku ni safari. Yeye ni mbunge kaacha mambo ya kitaifa na kukimbilia majuu, usishangae unaweza kukuta kila siku anapokea posho bungeni. Aah, Simba, mmepinda!
 

Na mfalme wa Bees yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…