kwaiyo we unataka simba wasichukue hatua yoyote wakati jina lao limechafuliwa? Apo rage anamakosa gan? Acha izo ukwel unabidi usimameRage hana lolote zadi ya kutaka kurudisha imani ya wapenzi na mashabiki wa Simba.Wenye haki ya kudai fidia toka kwa Azam walikuwa ni wachezaji na wala sio Simba SC.Walichofanya Azam ni kuomba wachezaji wao wachunguzwe kwa mujibu wa Sheria za mambo ya rushwa.Ila sio kwamba waliwapeleka mahakamani kwa mashtaka ya rushwa.Hivi kama kweli ingethibitika kwamba wachezaji hao walihongwa, Rage angetuambiaje?
100% mkuuIngagawa mimi si mpenzi wa Simba lakini kitendo cha kusingiziwa wametoa rushwa kuwaonga wachezaji wa timu pizani waliyocheza nayo si kitu kidogo kuachwa kiende hivi hivi. Kwa muono wa kisheria hawa watu wana haki ya kudai haki ya kudhalilishwa na kisheria wana haki ya kudai findia.Tuje kwa wachezaji wenyewe nao wana haki ya kudai fidia kusingiziwa kuongwa. Maana kipindi wako nje wameadhirika kisakolojia, wamekosa kazi ambayo wanaitegemea siku zote ya kucheza mpira ambayo ndiyo inayowapa kipato. Na kama walikuwa wanalipwa posho (mshahara wa kila mwezi) bado kuna mapato mengine ambayo wamekosa kwa mfano posho ya kusafiri kwenda nje mfano Mnrovia Liberia etc etc.Mimi ningeshauri nao waone nini nini wafanye japo najua uonga na njaa ya wachezaji wataona wanaharibu kibarua chao cha kila siku, lakini wao kama wachezaji wana haki ambayo inawalinda kisheria
kwaiyo we unataka simba wasichukue hatua yoyote wakati jina lao limechafuliwa? Apo rage anamakosa gan? Acha izo ukwel unabidi usimame
hivi hili kimb.a bado lipo Simba luwala??Mabingwa wa Tanzania Simba inaandaa barua ya kudai fidia ya Sh. bilioni 1.5 toka timu ya Azam kutokana na kitendo cha club hiyo kuwashitaki wachezaji 4( agrei morris, erasto nyoni, said morad na deo munishi) kwa madai walipokea rushwa ya sh. Milioni 7 kucheza chini ya kiwango mechi dhidi ya Simba. Hii inatokana na TAKUKURU kusema wachezaji hao hawana hatia.
Mwenyekiti wa Simba Aden Rage amesema tayari klabu imewasiliana na mwanasheria wake ili kuandaa madai kisheria.
Rage anaendelea kusema ni jambo la kuidhalilisha Simba na wana msimbazi wote hatuwezi kuliacha hivihivi.
Source: nipashe
mbona unachanganya mambo jipange usikurupuke 2
mkuu naona umekurupuka wakina agrey hawajakubali kurudi azam mpaka wasafishwehapo ni uongo tu unamsumbua huyu msomali na kitu kingine hao kina aggrey mbona awaongei sababu walipewa kweli ndio maana wakakubali kusimamishwa wangekuwa hawakuchukua wangeondoka azam kwanini wamekubali kurudi chukua hatua usikurupuke kama msomali wenu..
mkuu naona umekurupuka wakina agrey hawajakubali kurudi azam mpaka wasafishwe
Mi namjua Rage kuliko hata majority ya Wanachama wa Simba....mfano wakati Simba ikivurunda na Rage kukimbilia India ksbb alizozidai ni za kimatibabu si Wanachama wa Simba walikuwa wakijiapiza kuwa akirudi tu wanampiga chini,sikuwaambia kuwa watasukuma gari lake.....nafikiri wote mliona yale yaliyotokea pale JK Nyerere Airport,huyo ndiye Ismael mAden ya mahaRage