ukweli una uma sana!!Huna lolote we mnafiki tu tuachie simba yetu..
sio bure ndo maana mwenyekiti wenu aliwaita MAMBUMBUMBU na akili zenu za kuazimaHuna lolote we mnafiki tu tuachie simba yetu..
Hao Yanga, Azam, Mtibwa na Mbeya City wameichapa Simba goli ngapi? Timu zako hizo zote kasoro Mtibwa tu, zimeshafungwa mechi moja au mbili, lakini Simba haijapoteza mechi hadi sasa! Kwa wanaojua soka wanaelewa maana ya derby, ila kwa watu kama wewe mnaangalia matokeo! Derby huwa haifi hivi hivi, labda timu moja iwe haipo katika daraja husika kabisa!
hehe! Makoye maatale unadhania mambumbumbu watakuelewa basi hata kama utawaambia ukweli huku ukilia machozi ya damu bado watakuona haifai wanapenda uwasifie hata kwenye hamna..ubora wa timu yao wanaupima kwa kucheza na YANGA ndo maana wakakimbilia sauz kuiwekea kambi na wakaishangilia sana ile sare as if walishinda game... WebRepUbora wa timu haupimwi kwa mechi ngapi haijafungwa bali ni mechi ngapi imeshinda ndio maana Simba haijafungwa lakini iko nafasi ya chini kabisha katika msimamo wa ligi. Kwa kifupi iko nafasi ya 10 kati ya timu 14.
cjaona acha kuongea ukweli unawaumiza mikia..wenzio wanasubiri waanze ligi sijui lini hiyo ama raundi ya ngapi wanajua wenyewe WebRepNa bado......hapo mtakapofikisha pointi 26 kwa kucheza mechi zote 26 za ligi, ndipo muendelee kujifariji hivyo hivyo kwa kusema "SIMBA HAIJAFUGWA"!!
cjaona acha kuongea ukweli unawaumiza mikia..wenzio wanasubiri waanze ligi sijui lini hiyo ama raundi ya ngapi wanajua wenyewe WebRep
currentVote
noRating
noWeight
viongozi wa simba walifanya ujinga sana kwa kumsajili okwi na kumtema musoti wakidhani kuwa timu imara inajengwa na foward wazuri pekee wakasahau kuwa timu bora hujengwa na sehemu tatu yaani beki, kiungo na foward...na miongoni mwa watu ambao hanafanya usajili wa kijinga pale simba ni pamoja na hans poppe,,,,acha tu watengeneze hayo madroo mpaka wakome mwaka huu..
Ligi walianza kwa Yanga wakamkalisha 0-0, wakaenda Mbeya Prisons naye wakamkalisha kwa 1-1 hivi sasa wanaelekea Morogoro kumkalisha Mtibwa Sugar, sijui huko itakuwaje, nikifikiria sipati picha.
Ubora wa timu haupimwi kwa mechi ngapi haijafungwa bali ni mechi ngapi imeshinda ndio maana Simba haijafungwa lakini iko nafasi ya chini kabisa katika msimamo wa ligi. Kwa kifupi iko nafasi ya 10 kati ya timu 14.
mbona nyange kaburu siku hizi simsikii?
kutoa habari za simba spot club
cjaona acha kuongea ukweli unawaumiza mikia..wenzio wanasubiri waanze ligi sijui lini hiyo ama raundi ya ngapi wanajua wenyewe webrep
currentvote
norating
noweight
Huna lolote we mnafiki tu tuachie simba yetu..