Yeeessss mambo ni fayaaaa ranking mpya ya CAF mwezi january imetoka simba iko nafasi ya 17 ikiwa na points 14, utopolo wako namba 69 wakiwa na point 1, Gor Mahia ni ya 29, kwa Afrika mashariki mnyama mkali ni namba 1 ya pili Gor Mahia ya tatu ni rayon wakifatiwa na KCCA kisha utopolo ni namba tano.
pole bro simba na ponts 14 aliyepo namba 13 ana point 18 kinashindikana nini sasa utopolo mna point 1 ambayo hata namungo anakaribia kuipata, unateseka ukwia wapi mr utopolo?hao el mereikh wenyewe wako nafasi ya 31,pole sana boss sisi ni mmojawapo ya big boys wa afrika
hiyo team au kilabu cha pombe ?wehiu kabisa hao energy kubwa iko kwenye majungu tena wana point 1 kwa miaka 5 kuanzia 2017 hata namungo wanaipata safari hii