simba wamezoea kukanyagwa -wazee wa yanga.

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,316
13,282
kumbe hawa wazee wa yanga ni wahuni sana!juzi mtangazaji za chanel 5,patric aliwatembelea makwao akashangaa kukuta makochi na mazulia wanayo2mia makwao yana rangi nyekundu!akawauliza kulikoni mmekuwa mstari wa mbele kukataa logo ya vodacom yenye rangi nyekundu wakati majumbani mwenu mnazo?wakamwambia hapa tumeweka kwenye masofa ili tuwakalie!na mazulia ili tuwakanyage,kwani wamezoea kukanyagwa na sio tuwavae!
 
Hao wazee hamnazo kweli! mbona hiyo ya kuwakalia ndio hatari zaidi? haina tofauti na kupakatwa.
 
Back
Top Bottom