Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kama katiba inasema muwekezaji lazima awe mwanachama wa Smba kuna ubaya gani!? Hata huyo Dangote kwa mfano, kama ana nia basi itambidi naye pia awe mwanachama, then awekeze. Kuna ugumu gani kuwa mwanachama!???Simba mchakato wao mzuri ila wamekwama walipokuwa wanaupeleka haraka kuna hatua wameziruka
Na inaonesha Simba walipokuwa wanabadili mfumo wao na kuwa wa hisa, walikuwa wamemlenga moja kwa moja Mo na sio wawekezaji mwingine na ndio maana wakaweka mpaka vipengele vya muwekezaji lazima awe mwanachama wa simba na amewahi kuisaidia simba. Sasa najiuliza kwa mfano Dangote au tajiri yeyote kutoka nje ya nchi akavutiwa kuwekeza kwenye timu ya simba basi atakosa hiyo nafasi kwa sababu sio mwanachama wa Simba na hajawahi kuisaidia Simba.
Simba walianza vizuri lakini haraka haraka ndio iliowaponza, walimuhitaji zaidi Mo kuliko mfumo wenyewe.
Bila kutumia akili vizuri huwezi kuona ni wapi tatizo lipo, na mchawi ataendelea kutafutwa tu mara waziri mara kilomoni mara shaffih, kumbe tatizo lipo kwengine.
Hakuna asiyependa Simba isonge mbele lakini kwenye huu mfumo wamejikwamisha wenyewe. Inabidi wakae chini waangalie wapi wamekosea na kurekebisha. Ikiwezekana wakae na Kilomoni waeleweshane na kumaliza yote. La sivyo kila mtu watamuona mbaya.
NB: FIFA haitaingilia mgogoro wowote wa Timu au Shirikisho la soka ambalo limeenda kinyume na sheria za nchi - TUNAKUMBUSHANA TU!!
Simba mchakato wao mzuri ila wamekwama walipokuwa wanaupeleka haraka kuna hatua wameziruka

Hayo masharti yaliyoweka SSC yako Sawa , Sisi hatutaki intruders atoke nowhere aje kuwekeza SSC ,aende kuwekeza kwenye timu nyingine kwani timu zipo nyingiSimba mchakato wao mzuri ila wamekwama walipokuwa wanaupeleka haraka kuna hatua wameziruka
Na inaonesha Simba walipokuwa wanabadili mfumo wao na kuwa wa hisa, walikuwa wamemlenga moja kwa moja Mo na sio wawekezaji mwingine na ndio maana wakaweka mpaka vipengele vya muwekezaji lazima awe mwanachama wa simba na amewahi kuisaidia simba. Sasa najiuliza kwa mfano Dangote au tajiri yeyote kutoka nje ya nchi akavutiwa kuwekeza kwenye timu ya simba basi atakosa hiyo nafasi kwa sababu sio mwanachama wa Simba na hajawahi kuisaidia Simba.
Simba walianza vizuri lakini haraka haraka ndio iliowaponza, walimuhitaji zaidi Mo kuliko mfumo wenyewe.
Bila kutumia akili vizuri huwezi kuona ni wapi tatizo lipo, na mchawi ataendelea kutafutwa tu mara waziri mara kilomoni mara shaffih, kumbe tatizo lipo kwengine.
Hakuna asiyependa Simba isonge mbele lakini kwenye huu mfumo wamejikwamisha wenyewe. Inabidi wakae chini waangalie wapi wamekosea na kurekebisha. Ikiwezekana wakae na Kilomoni waeleweshane na kumaliza yote. La sivyo kila mtu watamuona mbaya.
NB: FIFA haitaingilia mgogoro wowote wa Timu au Shirikisho la soka ambalo limeenda kinyume na sheria za nchi - TUNAKUMBUSHANA TU!!
Kwani aliyezuia mchakato wa kuibinafsisha Simba ni nani?Halafu simba ikae na kilomoni kama Nani?
Kwan kilomoni simba ameikodi?
Kuwekeza au ununuzi wa hisa, hauwezi kuwa kwa wanachama tu. Labda iwe kwenye vikobaHayo masharti yaliyoweka SSC yako Sawa , Sisi hatutaki intruders atoke nowhere aje kuwekeza SSC ,aende kuwekeza kwenye timu nyingine kwani timu zipo nyingi
Kwani hao watu wengine wanaotaka kuwekeza si waende kuwekeza kwenye vilabu vingine , kama ni kweli ni wawekezajiKuwekeza au ununuzi wa hisa, hauwezi kuwa kwa wanachama tu. Labda iwe kwenye vikoba
Hebu tuwekee sheria ipi ya nchi imerukwaSimba mchakato wao mzuri ila wamekwama walipokuwa wanaupeleka haraka kuna hatua wameziruka
Na inaonesha Simba walipokuwa wanabadili mfumo wao na kuwa wa hisa, walikuwa wamemlenga moja kwa moja Mo na sio wawekezaji mwingine na ndio maana wakaweka mpaka vipengele vya muwekezaji lazima awe mwanachama wa simba na amewahi kuisaidia simba. Sasa najiuliza kwa mfano Dangote au tajiri yeyote kutoka nje ya nchi akavutiwa kuwekeza kwenye timu ya simba basi atakosa hiyo nafasi kwa sababu sio mwanachama wa Simba na hajawahi kuisaidia Simba.
Simba walianza vizuri lakini haraka haraka ndio iliowaponza, walimuhitaji zaidi Mo kuliko mfumo wenyewe.
Bila kutumia akili vizuri huwezi kuona ni wapi tatizo lipo, na mchawi ataendelea kutafutwa tu mara waziri mara kilomoni mara shaffih, kumbe tatizo lipo kwengine.
Hakuna asiyependa Simba isonge mbele lakini kwenye huu mfumo wamejikwamisha wenyewe. Inabidi wakae chini waangalie wapi wamekosea na kurekebisha. Ikiwezekana wakae na Kilomoni waeleweshane na kumaliza yote. La sivyo kila mtu watamuona mbaya.
NB: FIFA haitaingilia mgogoro wowote wa Timu au Shirikisho la soka ambalo limeenda kinyume na sheria za nchi - TUNAKUMBUSHANA TU!!
Nenda kasome privateplacement na ongezea bonus issue utajuaKuwekeza au ununuzi wa hisa, hauwezi kuwa kwa wanachama tu. Labda iwe kwenye vikoba
Hakuna aliezuia mchakato unaendelea km kawa uyo fungu la kukosa anatumika na hana nguvu yoyote simbaKwani aliyezuia mchakato wa kuibinafsisha Simba ni nani?
Kwani hao watu wengine wanaotaka kuwekeza si waende kuwekeza kwenye vilabu vingine , kama ni kweli ni wawekezaji
Kwani mo anaondoka?Nyie endeleeni kumshabikia kilomoni na mwakyembe. Mo akiondoka leteni hao wawekezaji wengine tuwaone.
Mkuu hawa wazee waliishi kwa ujanja ujanja kwenye vilabu hivi. Sasa wanapigania ugali wao.Kwann kilomon hatak maendeleo ya team?
Kama akilimali alivyokuwa shujaa huko yangaMzee Kilomoni shujaaa
Simba na yanga ni urithi wa nchiSimba imevunja sheria gani ya Nchi...??? Ikumbukwe Simba imesajiliwa kama Private company sio Public company