Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,286
Duuuh mfano huu ataelewa kweli maana umefunga uzi wenyeweAisee. Kwa hiyo mtu akitengeneza mbegu ya nyanya akalima eka moja ikampa mazao mazuri ukaja wewe ukalima eka 10 wewe unakuwa mgunduzi wa kuongeza ekari kwa mbegu uliyokuwa huijui kabla?
Then inaisaidia nini Yanga?Rekodi zikae sawa maana kumekuwa na upotoshwaji.
Haya umeeleweka. Ugali karibu unaiva kwa shemeji yako. Nenda kale SasaKuingia kwenye vitabu vya records za dunia.
Kwa hiyo Namungo akija na Namungo month unakuwa ni ubunifu mpya sababu yeye ni mwezi mzima si wiki wala siku?Yanga ni mbunifu zaidi maana Simba waliiga idea yao toka club za ulaya lakini Yanga wameanzisha kitu tofauti, hakuna club yoyote duniani iliyokuwa inaadhimisha wiki ya club hiyo ni Yanga ndiyo imewafungua macho.
Utopwinyo Wana akili sasaKwa hiyo Namungo akija na Namungo month unakuwa ni ubunifu mpya sababu yeye ni mwezi mzima si wiki wala siku?
Hahaha.Utopwinyo Wana akili sasa
Hamna ubunifu hapo hayo ni maboresho ya kilichobuniwa.Kabisa, kama utakuwa na tija.
Naona umekuja na gobole kwenye vita ya visuAisee. Kwa hiyo mtu akitengeneza mbegu ya nyanya akalima eka moja ikampa mazao mazuri ukaja wewe ukalima eka 10 wewe unakuwa mgunduzi wa kuongeza ekari kwa mbegu uliyokuwa huijui kabla?
Mkuu vyura wana roho mbaya mno. Nasikia kuna tetesi wanataka kumpeleka Chama kwa mkopo wapi huko sijui.Naona umekuja na gobole kwenye vita ya visu
Eeeh ule mfano wa mbegu watu hawajakuelewa nn ,embu wape mwingine ili nyuzi kama hizi za wanywa supu za kafara wapite hivi ,,,,$hwaaaaaMkuu vyura wana roho mbaya mno. Nasikia kuna tetesi wanataka kumpeleka Chama kwa mkopo wapi huko sijui.
Mkuu wameelewa basi tu ushindani.Eeeh ule mfano wa mbegu watu hawajakuelewa nn ,embu wape mwingine ili nyuzi kama hizi za wanywa supu za kafara wapite hivi ,,,,$hwaaaaa
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app