figisu figisu zimesha anza hawana lolote wanataka pesa tu haoClub ya vitalo Burundi imrandika barua kuishtaki simba kuhusu mchezaji wao l.mavugo ambae bado anamkataba
Wamesema mavugo aliaga aanaendamajaribio..France NA barua tumempaa ya timuya ufaransa NA sio Simba
Loh KESSY PART-II
Ha ha ha,Wakati Simba ina mchezaji mmoja mwenye utata katika usajili wake, Yanga haijapeleka kabisa majina yote. Wakati Simba inavutana na Vital'o, Yanga inavutana na FIFA. Wakati Simba inaweza kuachana na Mavugo na kuendelea kushiriki ligi, Yanga inaweza kushushwa daraja hadi lisilokuwemo kwenye mfumo wa TMS, yaani daraja la tatu.
bodaboda fc acha povuuuMatapeliii kama viongozi wenu wamekutanaa