....unazi bana, sasa player akifanya kosa asipewe kadi ? Unanikumbusha mashabiki wa arsenal wao wamezoea kupewa matuta kila siku hata fabrigas akijirusha tuu (wanaongoza ktk EPL) sasa mambo yakiwa magumu na timu nyingine kupewa matuta wanalalamika mpaka liamba..!
Naona Simba isije kuwa kama Man, maana TFF imejaa yanga kama ilivyo FA kujaa watu wa arsenal.... mara ohh koch kafungiwa, mara Rooney, yaani kila sababu ya kuwatafutia ubingwa jamaa...