Ukweli mashabiki wa simba wamekomaa sana kimichezo kwa sasa wanajua kabisa katika mpira kuna kushinda na kushindwa hawana hofu timu imepoteza lakini wako kimya na maisha yanaendelea ingekuwa kagera shuga hapa wangemfuata kocha waliemfukuza guest na kuanza kumrushia chupa za maji kisa kagera shuga imefungwa