Kipindi cha pili Ndanda wameacha kabisa kucheza mpira. Wanawapa Simba pasi, ni shida. Ingekuwa ni Yanga hakika leo tungemwona Manara akilialia kwenye tv

Kuna jamaa anakiwanda cha kutengeneza maji na kiongozi mmoja wa chama cha mpira Ntwara wanahusika sana kwa ushindi wa Leo pongezi zao ndio mpira wetu huo