Mtaombe Kheri wengi, maombi ya mtenda dhambi hayakubariki, mliisaliti Timu yenu Siku ile ya Siku, alafu leo muombee kheri timu zingine, Simba dereva wa gari lao, husimama vituo vikuu, tu kituo kinachofuata ni Shinyanga.
Standy 0-4 Simba. Alliance 2-0 Yanga, tukutane kanda ya ziwa watoto wanaweka mpira chini hao.
Mkuuu koment zako zote kuhusu Simba unalialia tu kama manzi wa kihindi. Si umshauri zahera waache kucheza. Ukizingatia timu njaa tupu. Acheni kucheza kuliko kulialia kila dakika. Muosha huoshwa, umejidai kusahau kipindi cha Manji?! Sasa tulia mbegu iote vizuri.