Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Dah mnyama kesha shinda
Hivi bado tunafukuzia nafasi ya pili?Acha tu angalau washinde, vinginevyo watasononeka sana.
Wewe unauliza nafasi ya pili wakati ya tatu yenyewe hadi Kagera sugar wapoteze au wadraw na sisi tushinde zote.Hivi bado tunafukuzia nafasi ya pili?
Wewe unauliza nafasi ya pili wakati ya tatu yenyewe hadi Kagera sugar wapoteze au wadraw na sisi tushinde zote.
Mechi ya mwisho tunaweza kushinda maana Yanga wataingia kwa kukamia halafu wanakutana na Simba mtoto anataka ajenge heshima na kuhakikishiwa namba ili awe Simba mkubwa moja kwa moja, nakwambia wale madogo watataka sifa siku hiyo, watakamua soka utadhani wanawania ubingwa.TEHTEH kasheshe ni mechi ya mwisho.
Polisi Moro hivi hayupo kwenye hatari ya kushuka daraja?
Hawa Toto hawana akili kabisa, pamoja na kuchukua pointi nne toka kwa aliyekuwa bingwa mtetezi wanashuka daraja!!!Kaka unaulizia vitu vya ncha kali kwa policcm, yaani ndio wanaungana na Toto kuiaga ligi kuu hivyo, hadi sasa washakandamizwa goli mbili.
Hawa Toto hawana akili kabisa, pamoja na kuchukua pointi nne toka kwa aliyekuwa bingwa mtetezi wanashuka daraja!!!
Ina maana toto anaweza kupona kushuka daraja?Full time, Simba 2-1 Polisi Morogoro, safi sana matokeo haya yanatoa ahueni kidogo kwa Toto Africans.
Ina maana toto anaweza kupona kushuka daraja?
Mkuu hao Toto ni sikio la kufa, halafu ukichanganya na fitna waliyofanyiwa na TFF basi ndio ikapigilia msumari wa mwisho.
Ninahisi Toto itawachukua miaka mingi kurudi ligi kuu
Mkuu si bora msimu huu wametufunga goli tatu mechi mbili, kuna msimu walitukandamiza goli nne kwenye mechi moja Kirumba, ndo maana Msomali kila mara huwa anawaombea washuke daraja.Kushuka kwa Toto ni pigo kwa Yanga, hii ni moja ya timu ambazo humnyanyasa Mnyama na kumnyima nafasi ya ubingwa, mfano mwaka huu pekee kati ya pt. 6 Mnyama kaambulia pt. 1 tu. Anyway RIP Toto Africans, mwaka kesho mtafufuliwa tu.
Ina maana toto anaweza kupona kushuka daraja?