Anateseka akiwa vikinduKwani unateseka ukiwa wapi
Unaposema hawana umiliki na timu unamaanisha kuna nani ??
mtan unaugulia pande zipi!Mm n shabiki wa yanga ila mashabiki walio wengi wa yanga n vilaza Sana
Mleta post timu yetu unaiona hali yake ilivyo unaona wenzetu leo wanapambana kucheza robo fainal ya champion league sisi timu yetu ambayo haijamilikiwa na mtu ipo wapi Sasa
Unatia kinyaa mkuu naumia walau na sisi angepatikana mtu Kama MO tungekuwa mbali Sana

Utopolo katika ubora wake!! Kwa kuteseka utopolo wako vizuri!
Wake zetu wacheni noma tunawafanyia mipango na nyie mwakani mpande ndege,siyo kila siku Kimbinyiko tu na ile mbaula yenu.