Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Yawezekana uko sahihi mkuu.... Ila kwenda south Africa kama hela wanayo sijaona tatizo lolote.Mpaka muda huu sijaona logic ya simba kwenda kuweka kambi Afrika ya Kusini. Ikitokea wakafungwa, hii ndiyo itakuwa ni sababu kubwa.
All in all, mchezo wa Yanga na simba ni vigumu kutabirika. Atakayetumia vizuri nafasi atakazo zipata, ndiye atakayeshinda.
Wangebakia Bongo au wangesogea Zanzibar. (Hapa nimeongea kama mdau wa michezo)Yawezekana uko sahihi mkuu.... Ila kwenda south Africa kama hela wanayo sijaona tatizo lolote.
Au ulipendekeza waende wakaweke kambi wapi?
hapa ndiko vijana wa kitanzania mnakofeli. hii nchi kwa hali iliyoko wala sio wakati wa kujadili hizo topolozI salute you kinsmen
Kwa mwenendo mzima hapa tumeshaona simba wameshakalia kijiti before hata game yenyewe
Yaani kutwa wanajigamba na kupost sana wakati yanga wapo kimya kabisa hawana neno na wala hawapost kitu.
Inamaanisha yanga wamepanga kufanya mauaji makubwa sana this time naona kabisa simba anaenda kugongwa kote kote
Kipigo zaidi ya connection ya mmakonde, kwa maana hiyo simba wanaenda kuliwa matobo yote.
Time will tell na hapo lawama zitakuwepo sana
MANGUNGU OUT
MO ANATUNYONYA
DOUMBIA TAPELI
KUNA MAMLUKI NDANI YA TEAM
GSM ANAHARIBU LIGI
TFF WOTE NI YANGA
TFF WALIWAPA WACHEZAJI WA YANGA RUHUSA KWANINI WATOKE TEAM YA TAIFA?
NA MENGINE MENGI
YANGA 3
SIMBA 1
Kwahiyo unataka watu kila muda wajadili siasa?, unataka watu waumie kila muda na upuuzi wa VIONGOZI wa kitanzania?. Kila jambo na wakati wake?hapa ndiko vijana wa kitanzania mnakofeli. hii nchi kwa hali iliyoko wala sio wakati wa kujadili hizo topoloz
Usitupangiehapa ndiko vijana wa kitanzania mnakofeli. hii nchi kwa hali iliyoko wala sio wakati wa kujadili hizo topoloz
Unataka wajadili lisu kila siku?hapa ndiko vijana wa kitanzania mnakofeli. hii nchi kwa hali iliyoko wala sio wakati wa kujadili hizo topoloz
Hivi kwann mashabiki hapa Nchini hatuwazagi vitu vya msingi ambavyo vinaweza saidia Taifa in future?Nchi hii ina Mpira gani sasa zaidi ya Siasa ya mpira, Yanga lenyewe ni timu la Mbeleko tuI salute you kinsmen
Kwa mwenendo mzima hapa tumeshaona simba wameshakalia kijiti before hata game yenyewe
Yaani kutwa wanajigamba na kupost sana wakati yanga wapo kimya kabisa hawana neno na wala hawapost kitu.
Inamaanisha yanga wamepanga kufanya mauaji makubwa sana this time naona kabisa simba anaenda kugongwa kote kote
Kipigo zaidi ya connection ya mmakonde, kwa maana hiyo simba wanaenda kuliwa matobo yote.
Time will tell na hapo lawama zitakuwepo sana
MANGUNGU OUT
MO ANATUNYONYA
DOUMBIA TAPELI
KUNA MAMLUKI NDANI YA TEAM
GSM ANAHARIBU LIGI
TFF WOTE NI YANGA
TFF WALIWAPA WACHEZAJI WA YANGA RUHUSA KWANINI WATOKE TEAM YA TAIFA?
NA MENGINE MENGI
YANGA 3
SIMBA 1
Usitupangie hapa ni michezoHivi kwann mashabiki hapa Nchini hatuwazagi vitu vya msingi ambavyo vinaweza saidia Taifa in future?Nchi hii ina Mpira gani sasa zaidi ya Siasa ya mpira, Yanga lenyewe ni timu la Mbeleko tu
Hapo utakesha brother sidhani kama atapangwaVyovyote itakavyokua, japo Doumbia atupie goli siku hiyo
Daaah! Japo mie mwananchi lakini nilitamani atupie hata moja tu, au igonge besela.Hapo utakesha brother sidhani kama atapangwa
I salute you kinsmen
Kwa mwenendo mzima hapa tumeshaona simba wameshakalia kijiti before hata game yenyewe
Yaani kutwa wanajigamba na kupost sana wakati yanga wapo kimya kabisa hawana neno na wala hawapost kitu.
Inamaanisha yanga wamepanga kufanya mauaji makubwa sana this time naona kabisa simba anaenda kugongwa kote kote
Kipigo zaidi ya connection ya mmakonde, kwa maana hiyo simba wanaenda kuliwa matobo yote.
Time will tell na hapo lawama zitakuwepo sana
MANGUNGU OUT
MO ANATUNYONYA
DOUMBIA TAPELI
KUNA MAMLUKI NDANI YA TEAM
GSM ANAHARIBU LIGI
TFF WOTE NI YANGA
TFF WALIWAPA WACHEZAJI WA YANGA RUHUSA KWANINI WATOKE TEAM YA TAIFA?
NA MENGINE MENGI
YANGA 3
SIMBA 1
Kwahyo kukaa kimya ndy kushinda?I salute you kinsmen

Dogo tulia punguza mbwembwe daily tunawakojoza utatuambia Nini?Kwahyo kukaa kimya ndy kushinda?
Kama huna cha kujigamba utaongea nn?
Kwa sasa Libasse Guaye ndy habari ya mjini
Simba 3 sisi yanga 0
Kwa msaada wa kayoko na arajigaDogo tulia punguza mbwembwe daily tunawakojoza utatuambia Nini?View attachment 3685943