Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Viongozi Na wanachama wa Simba kuweni makini Na sakata la Pointi 3 zinazopiganiwa Na klabu ya Kagera.Kwa taarifa yenu Yanga iko nyuma ya klabu ya Kagera wakishirikiana Na uongozi wa Juu wa TFF wakiongozwa Na Rais wake Na Katibu MKUU.Ushaidi umekuwa wa kutafutatafuta wakati maamuzi yalikwisha tolewa Na Kamati husika.