Nitajie mwekezaji mmoja tu ambaye aliyewahi kuondoka na timu ikabaki ombaomba... tofauti na Sasa mwekezaji au mfadhili akiondoka team inageuka kuwa ombaomba.
Kujitegemea kama yanga alafu tuendeshe timu kwa harambee??? 😂 😂 😂MO ndio anapenda timu isijitegemee ili awe aabudiwe kama Mungu
Mzee baba kwani kwenye Uzi wangu kuna mahala nimesema me ni mshabiki wa yanga?Na timu yako ya yanga ni tajiri au masikini?
Mzee baba kwani kwenye Uzi wangu kuna mahala nimesema me ni mshabiki wa yanga?
Yani we jamaa uwa una ndoto zisizoisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga tajiri kuliko mikia..udhamini wa Sportpesa,Taifa gas na GSM ni mkubwa kuliko Pesa za Mo za kutoa mfukoni
Hili suala la kutumia hela ya mfukoni kuendesha timu CAF hawana sheria inayothibiti suala hili kama UEFA ?Haji manara pamoja na mashabiki wa Simba wamekuwa wakisema Simba ni tajiri sio kweli Simba ni tajiri Bali inamwekezajj tajiri team tajiri inapimwa kupitia account ya bank inasemaje na namna ambavyo inajiendesha yenyewe Bila kutegemea hela za mwekezaji au wafadhili gharama hizo zinaweza zikawa kulipa mishahara,kulipa malazi ya wachezaji pamoja na benchi la ufundi, usajili n.k je Simba Ina pesa hizo zakifanya haya Bila pesa za mwekezaji au wafadhili?mfano team Kama Esperance ndio team ya mfano mzuri hii team ndio unaweza kusema ni timu tajiri cos inasponsors 13 Ina inapata hela nyingi kupitia caf champion league cos inakuwaga inafanya vizuri Sana lakini ligi yao mshindi wa trophy anapata hela nyingi, ni ligi ya pili ambayo bingwa wa ligi anapata hela nyingi ukitoa ligi ya sa.Ni team yenye uwezo wakujiendesha Bila ya pesa ya mwekezaji.
Ushauri wangu kwa team za Tanzania ifike mahali zitengeneze vitega uchumi vingi kwa manufaa ya club zao ili ziwe na power kuliko wawekezaji au wafadhili ili hata wafadhili au wawekezaji wakiondoka mnakuwa mnauwezo wa kujiendesha tofauti na Sasa mwekezaji au mfadhili akiondoka team inageuka kuwa ombaomba.
Upupu!Haji manara pamoja na mashabiki wa Simba wamekuwa wakisema Simba ni tajiri sio kweli Simba ni tajiri Bali inamwekezajj tajiri team tajiri inapimwa kupitia account ya bank inasemaje na namna ambavyo inajiendesha yenyewe Bila kutegemea hela za mwekezaji au wafadhili gharama hizo zinaweza zikawa kulipa mishahara,kulipa malazi ya wachezaji pamoja na benchi la ufundi, usajili n.k je Simba Ina pesa hizo zakifanya haya Bila pesa za mwekezaji au wafadhili?mfano team Kama Esperance ndio team ya mfano mzuri hii team ndio unaweza kusema ni timu tajiri cos inasponsors 13 Ina inapata hela nyingi kupitia caf champion league cos inakuwaga inafanya vizuri Sana lakini ligi yao mshindi wa trophy anapata hela nyingi, ni ligi ya pili ambayo bingwa wa ligi anapata hela nyingi ukitoa ligi ya sa.Ni team yenye uwezo wakujiendesha Bila ya pesa ya mwekezaji.
Ushauri wangu kwa team za Tanzania ifike mahali zitengeneze vitega uchumi vingi kwa manufaa ya club zao ili ziwe na power kuliko wawekezaji au wafadhili ili hata wafadhili au wawekezaji wakiondoka mnakuwa mnauwezo wa kujiendesha tofauti na Sasa mwekezaji au mfadhili akiondoka team inageuka kuwa ombaomba.
Mo energy,Mo halisi 480m..jezi 300m.Yani we jamaa uwa una ndoto zisizoisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
5imba ina rasilimali zipi za thamani ipi kuizidi Yanga?Utajiri sio pesa bank tu unamikiki rasilimali gani kiuchumi ndo ujumlishe hela yako bank sasa kwa vilabu vya bongo simba ni tajiri gongo wazi awezi kubali hilo hata kdg sababu linauma moyoni
5imba ina rasilimali zipi za thamani ipi kuizidi Yanga?
Mnalishwa matango pori na Haji mnabaki kukariri tu.
Ndiyo maana Mo kawaambia thamani yenu ni billion 20 mkasema hewala.
Sasa hapo nimediss au nimetoa hoja?Sasa mbona unaidiss simba
Its a waste of time to argue with the likes of Haji ManaraYanga thamani yenu ni mchango ya kwenye sahani kuaongezea kwenye jezi mana GSM amewasahidia kidg vingine vyote sio vyenu jengo lile la pale mtoni la mama karume amna maamuzi nayo na uwanja mmepewa kigamboni ni cha ccm makonda akawabeba haya onyesheni chenu ndo mana manji amekataliwa sio na wanayanga hapana wenye mali zao akaona kumbe timu inamilikiwa na watu kitambo mnadanganywa timu ya wananchi wakati mama karume anawaangalia tu
manjiNitajie mwekezaji mmoja tu ambaye aliyewahi kuondoka na timu ikabaki ombaomba