Hata mimi!Ila kwa kocha ya viungo na makipa nimeumia kidogo.
Wachezaji nao wachukuliwe hatua kali ,haiwezekani Wawa na Manula wanaangalia tu kama wachumba
Biashara za wahindi ni uchizi uliokithiri, Kanjibai kauza bunduki kanunua rungu afu anataka matokeo yale yale. Kama kuna watu walipaswa kuanza kuwajibika hapo Simba, alipaswa anze Mwamedi, na kademu kake kafuate.Kwa kauli aliyoitoa ni Mo Dewji baada ya simba kufungwa nilijua tu Gomes hawezi kupona
Nakumbuka kabla hajawa muwekezaji simba alitoa kauli kama hiyo Omog ambaye kwa sasa ni kocha wa Mtibwa Sugar nae akafungasha
Bado Ole Guna Sosha sasa ili niwe na amani ya moyo.
View attachment 1987249
Biashara za wahindi ni uchizi uliokithiri, Kanjibai kauza bunduki kanunua rungu afu anataka matokeo yale yale. Kama kuna watu walipaswa kuanza kuwajibika hapo Simba, alipaswa anze Mwamedi, na kademu kake kafuate.
Kocha wa viungo kakosa nn
Nafikiri amekaa sanaIla kwa kocha ya viungo na makipa nimeumia kid