Mpira una namna nyingi zakuangalia au kutazamaMpira wa kushindwa kupiga hata pasi 7 kwa usahihi?
Mpira wa kushambuliwa mwanzo mwisho?
Mpira wa kushindwa hata kutengeneza nafasi?
Mpira wa kushindwa kupata hata on target moja?
Wachezaji hata unyumbulivu hawana?
We jamaa Mpira tuliokuwa tunaangalia ndio huo uliangalia ama ulikuwa na WA kwako tofauti? Wachezaji ata kukaa na Mpira dk 1 ilikuwa shida wananyang'anywa na bado unasifia utumbo!Simba Sports Club pamoja nakuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi jipya kabisa lakini bado wameonyesha kuwa wao ni timu namba moja kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na Namba 6 kwa ubora kwa vilabu Afrika nzima.Yaani ule mpira waliocheza jana ndio huwa unampa ubingwa Al Ahly ya Misri,Unacheza kwa malengo sio tu ilimradi na kiwango kile naiona Simba ikifika mbali sana tena ikiwezekana hata kombe watachukua.
Halafu mnaombeza Fadlu Davis kwa kumuacha nje Mukwala na kumuingiza Valentino Mashaka naomba niwaambie ukocha ni taaluma na watu wanasomea kwahiyo muacheni Mtaalamu Fadlu afanye majukumu yake kwa taaluma yake.
Kama huo utumbo waliocheza ndio ulifanya tukatoka suluhu ugenini basi ninaomba waendelee kucheza utumbo huo huo kila wakiwa ugenini ili tuendelee kupata suluhu ugenini.We jamaa Mpira tuliokuwa tunaangalia ndio huo uliangalia ama ulikuwa na WA kwako tofauti? Wachezaji ata kukaa na Mpira dk 1 ilikuwa shida wananyang'anywa na bado unasifia utumbo!
Sahihi kabisa, tujue kuheshimu taaluma za watu. Pamoja na kwamba mimi pia sikukubaliana na kutolewa nje kwa Atebe, lakini nimekaa kimya kwa kuwa kuna kitu alikiona. Kwa jinsi walivyokuwa wanacheza wale waarabu, angeweza kuumia tukamkosa mechi muhimu ya marudiano.Simba Sports Club pamoja nakuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi jipya kabisa lakini bado wameonyesha kuwa wao ni timu namba moja kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na Namba 6 kwa ubora kwa vilabu Afrika nzima.Yaani ule mpira waliocheza jana ndio huwa unampa ubingwa Al Ahly ya Misri,Unacheza kwa malengo sio tu ilimradi na kiwango kile naiona Simba ikifika mbali sana tena ikiwezekana hata kombe watachukua.
Halafu mnaombeza Fadlu Davis kwa kumuacha nje Mukwala na kumuingiza Valentino Mashaka naomba niwaambie ukocha ni taaluma na watu wanasomea kwahiyo muacheni Mtaalamu Fadlu afanye majukumu yake kwa taaluma yake.
Majibu yatapatikana Dar tuvute subira, mchezo wa kutegemea kushinda nyumbani umeshapitwa na wakati, nakukumbusha tu kuwa Simba ilitoa sare na power dynamos ya 1-1 kwa Mkapa na UD Songo ilimtoa Simba hapo hapo kwa Mkapa.Mpira una namna nyingi zakuangalia au
kishabiki
kifurukutwa
kinazi
kinafiki
kiufundi
n.k
Sasa sijui wewe uliangalia mpira kwenye namna ipi hapo?
Michuano ni CAF CONFEDERATION CUP KNOCK OUT STAGE halafu mechi ya kwanza ugenini kat ya mechi mbili zitakazoamua timu ya kwenda GROUP STAGE wewe kwa utaalamu wako ulitaka Simba Wachezeje?
Umeanza kuelewa mpira ndugu yangu,Kwani unadhani Fadlu hajui Mukwala ni bingwa wa kuifanya Pressing? lakini bado aka opt kumchezesha Valentino Mashaka? Mechi za mtoano zina hesabu za dakika 180 sio dakika 90 kwahiyo jana ilichezwa mechi huku kichwani kukiwa na mawazo ya mechi ya marudiano.Sahihi kabisa, tujue kuheshimu taaluma za watu. Pamoja na kwamba mimi pia sikukubaliana na kutolewa nje kwa Atebe, lakini nimekaa kimya kwa kuwa kuna kitu alikiona. Kwa jinsi walivyokuwa wanacheza wale waarabu, angeweza kuumia tukamkosa mechi muhimu ya marudiano.
Hata kuachwa nyumbani kwa Chasambi inawezekana ni mkakati maalumu maana safari ni ndefu na wachezaji watakuwa na uchovu, utahitaji watu ambao wataipa uhai timu.
Ukitaka kujua matokeo ni mazuri au mabaya kwa Simba, jiulize Al Ahly walikuwa wanataka matokeo gani na je waliyapata?
Hata Robertinho na Benchika walisomea ukocha na ni taaluma zao.Simba Sports Club pamoja nakuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi jipya kabisa lakini bado wameonyesha kuwa wao ni timu namba moja kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na Namba 6 kwa ubora kwa vilabu Afrika nzima.Yaani ule mpira waliocheza jana ndio huwa unampa ubingwa Al Ahly ya Misri,Unacheza kwa malengo sio tu ilimradi na kiwango kile naiona Simba ikifika mbali sana tena ikiwezekana hata kombe watachukua.
Halafu mnaombeza Fadlu Davis kwa kumuacha nje Mukwala na kumuingiza Valentino Mashaka naomba niwaambie ukocha ni taaluma na watu wanasomea kwahiyo muacheni Mtaalamu Fadlu afanye majukumu yake kwa taaluma yake.
Ni kweli kabisa hayo uliyoyasema lakini mbona umechagua hayo tu vipi kuhusu comeback ya Nkana Red Devils pale LUPASO au vipi alivyoshinda home and away dhidi ya premiro de Agosto tena kocha akiwa Juma MGUNDA?Majibu yatapatikana Dar tuvute subira, mchezo wa kutegemea kushinda nyumbani umeshapitwa na wakati, nakukumbusha tu kuwa Simba ilitoa sare na power dynamos ya 1-1 kwa Mkapa na UD Songo ilimtoa Simba hapo hapo kwa Mkapa.
Kweli ndugu yangu umeongea jambo lenyewe kabisa lakini kama Kocha unakuwa na Game Plan yako kwahiyo hata mchezaji akikosea mara mbili mara tatu ndani ya muda mfupi huwezi tu kumfanyia mabadiliko lazima uwe na subra na umuelekeze ili arudi mchezoni na kukupa ile faida uliyoikusudia.Mie namuelewa Fadlu kwanini alichelewa kufanya sub japo kuna watu walikuwa wako ovyo kimchezo lakini bado timu ilikuwa kwenye shape nzuri kiufundi na bado haikuruhusu goli.Kwa mtizamo wangu naona Simba walicheza kimkakati zaidi na walifanikiwa sana kwani walikuwa ugenini. Lakini hili lisiwafanye wabweteke kwani hata hao walibya watakuja kimkakati kwa hiyo Simba wawe makini sana. Simba wajue kabisa jamaa wakipata goli moja hapa wao watatakiwa wapate mawili.
Pia benchi la ufundi liwe linafanya sub mapema. Kwa mfano Balua ile mechi ilimshinda mapema sana ilitakiwa abadilishwe mapema baada ya dakika 30 tu. Na sio ajabu kwani taratibu tu atazoea hizo mechi za kimataifa. Kwenye benchi walikuwepo Kibu na Mukwala ambao wana uzoefu na mechi za kimataifa wangeweza kuwa msaada kwa timu. Pia Mutale aelekezwe acheze kitimu zaidi aache anao anao mpaka anapoteza mpira hovyo.
COACHES ARE HIRED TO BE FIREDHata Robertinho na Benchika walisomea ukocha na ni taaluma zao.
Lakini mliwatimua.
Kama hoja ni hiyo ya kucheza nje ya uwanja sina la kusema.Mechi za kimataifa za Afrika tena hasa hizi za Vilabu zinachezwa nje ya uwanja zaidi ya Uwanjani
Coaches are hired to be firedHata Robertinho na Benchika walisomea ukocha na ni taaluma zao.
Lakini mliwatimua.
Hahah. Nimeliona dongo lako eti "nimeanza kuelewa mpira" 🤣😂🤣Umeanza kuelewa mpira ndugu yangu,Kwani unadhani Fadlu hajui Mukwala ni bingwa wa kuifanya Pressing? lakini bado aka opt kumchezesha Valentino Mashaka? Mechi za mtoano zina hesabu za dakika 180 sio dakika 90 kwahiyo jana ilichezwa mechi huku kichwani kukiwa na mawazo ya mechi ya marudiano.