Mkuu wewe itakua sio mtu wa boli,timu zinazocheza ligi moja,tofauti yake haiwezi kua MBINGU na ARDHI, simba,Yanga,Ken Gold,Pamba,zime tofautiana ubora ila zote zipo daraja Moja..Man city na Sheffield daraja moja japo city wakali sana..ila watoto wakiamka vizuri mkubwa anakaa,,,Bayern munich na Simba ndio Mbingu na ardhi..
Beti kistaarabu,