Ndugu yangu manara. Msemaji WA simba nakupongeza Sana kwa kuipenda simba Kwa dhati ya moyo wako. Lkn pmja na kuipenda simba nimekufatilia Kwa misimu mitatu 3 ya ligi yetu khs usemaji wako nimeona nikushauri. Mara nyingi usemaji wako umeigharimu simba yetu. Nikushauri usemaji wako Uwe na hekima bakiza maneno mengine. Kwa wale ndugu zangu wanajeshi wanajua. Yn si vyema kuanika silaha zako zote Kwa adui yk. Haji manara unazungumza hadi unakera kuwa na hekima acha majivuno acha kuwapa adui faida acha kuwazindua adui zako unazungumza hadi inawashtua Adui zako. Haji jirekebishe umekuwa si mwanahabari umekuwa mc WA vigodoro haji ss Wanasimba unatukera unaharibu mikakati ya ushindi. Jirekebishe haji.